YAIYai hutokea kwa mwanamke tofauti akiwemo ndege,reptiles,amphibians,na samaki. Huliwa na binaadamu kwa miaka elfu na maelfu. Mayai ya ndege na reptiles yanagamba ambalo ni kilinzi( ulinzi).Yanayojulikana sana ni mayai ya kuku,tombo,kanga,bata,na ya samaki. Yanayoliwa sana ni ya kuku kwa upana sana na duniani kote.Kiini cha yai na ute wake unahifadhi Proteins na choline na yanatumika zaidi kwa kupikia ,kwa kuipata protein yake .
USDA-United Department of Agricultre walitofautisha mayai na nyama achilia mbali virutubisho,ila yai lina thamani na faida za kiafya tele,tokea yai lenyewe kuhifadhiwa kwake,ubora wake,kwa watu.Mayai ya ndege yalipata umaarufu zamani kwa wawindaji ndo walitumia kama chakula .
2009, 62.1milioni zilizalishwa tani za mayai duniani ya kuku kwa kutotolewa kwa asilimia 6.4%.
Romans huwa wanavunja mayai na kuweka maganda kwenye sahani wakiamini kuzuia shetani asikae mahala hapo. Yai la kupikwa aina Scrambled pamoja na juisi ya matunda ya acid asubuhi ilikuwa maarufu sana Ufaransa karne ya 17.ilijulikana kama Lemon curd.
Afrika ni chakula cha kawaida sana .Na hutumika kama kiungo kwa matumizi ya nyumbani hata viwandani pia. Hutumika kwa chakula cha sukari,savory, na vyakula vya kuoka. Yai hukaangwa,kuchemshwa,srambled,omellettes,na achari pia.
Mayai huliwa ghafi mabichi,(raw),hii haishauriwi kwa binadamu,haswa kwa Salmenellosis ni bacteria mbaya kwa wazee,wagonjwa,na wajawazito.
Protein inayopatikana kwa raw eggs ni 51%wakati ya kupikwa ni 91% ni mara mbili ya ile ya yai bichi.
Yai ni kiungo, kiini ni muhimu sana jikoni,ni kama kilainisho cha Custard.
Ule ute mweupe lina protein kidogo na fat pia.Ikipikwa peke yake huwa desert kama Mousse na maringues.
Yai likipikwa lina protein kibao.yai la kupikwa linaongeza pia athari ya atherosclerosis kwa oxidization ya cholesterol inayopatikana kwenye kiini cha yai.
Yai la kuchemshwa likichemshwa sana hutengeneza mviringo wa kijani kuzunguka kiini. Hutokana na madini ya chuma na sulfur yalo kwenye yai. Au kwenye maji yalochemshiwa yai. Huo ukijani hauathiri ladha ya yai,huathiri ubora wa protein.
Kulipooza yai kwa maji baridi baada ya kuwa limechemka sana na likapoa kabisa husaidia kulinda huo ukijani usizunguke katika uso wa kiini cha yai.
Yai la bata ni tofauti na la kuku kwa ukubwa na ladha pia.
Yai likichanganywa na viungo huwa ni tamu ladha yake,ukiweka soy sauce,majani meusi ya chai,na viungo vingine.Yai huitajika kutunzwa liwe fresh ndio zuri kwa afya.kutoliweka vizuri ni kuongeza bacteria Salmonella ambao ni sumu .
U.S mayai yanaoshwa nje kuondoa uchafu na hushauriwa kuwekwa frijini kwa kuzuia hao bacteria.
Kuweka kwa friji hulinda ladha na muonekano pia,yai lilopasuka au kutoboka huweza kukaa frijini miezi kadhaa bila kuharibika wala kupoteza ladha.
U.K hawaoshi ila wanawakinga kuku na huu ugonjwa na bacteria huweza kuwa salama kwa siku 21 na lenye uwezo wa kutengeneza afya bora.Njia kubwa ya kuhifadhi yai ni kuweka chumvi.wachina wanaloweka kwenye chumvi na hukaa kwa mwezi bila kuharibika,kiini chao ni rangi orange-red,na hupendelea mayai ya kuchemsha kula na wali. Huchemsha na kutia vinegar na viungo kama tangawizi n.k.
Mara kwa mara juisi ya "beetroot"huwekwa kuongezea hiyo rangi.Huloweka yai kwa saa kadhaa na huonekana hizo rangi likikatwa vipande.Yai likilowekwa na vinegar hutengeneza Calcium Carbonate huingia kwa yai kutengeneza acid inayotosha kuzuia wadudu.
Yai ina Protein ambayo ni mlo mzuri kwa binaadamu.Ina Amino acid,na Vitamin za kutosha na madini mengi tu. Ina Folic acid, Retinol(Vitamin A),Riboflavin (vitamin B2),Vitamin B6,Choline Iron,Calcium, Phosphous na Patassium.
Kiini kina Vitamin A,D,na E.Ina Cholesterol, na fat kwa afya bora.
Choline ni muhimu kwa kukuza akili,na wajawazito na nursing women. Kuku wa kienyeji wanaokula vyakula vya asili ni wazuri zaidi kwa afya bora na salama,mayai yao yana virutubisho na Omega -3fatty acid,kuliko kwa mayai wa kuku wa kutengenezwa au kwa lugha nyepesi kuku wa kizungu.
Yai Fresh hujulikana kwa zoezi hili ukitia kwenye chombo chenye maji halizami huelea,wakati yai la muda mrefu hilo huzama na likalala chini kabisaa,nalo sio zuri kula.
Inashauriwa kula kiini kila siku. Sababu lina virutubisho ,pia ni vizuri kula yai kila siku ukilipata yai zima lenye kiini na ute virutubisho viko juu zaidi.
Kula yai kwa wingi ina madhara, hulimbikiza cholesterol na fats mwilini ambayo athari kwa moyo,kisukari, cardiovascular,na allergy kwa watoto.Yai hutumika kama mapambo kwa siku za sikukuu kwa Persia India,na michezo ya babu na wajukuu.
Huremba kwa kulipakaa rangi na kulipamba kwenye sahani kama mapambo nyumbani.
0 comments:
Post a Comment