• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Saturday, October 12, 2013

TAULO

12:59 AM // by Kalma // No comments

TAULOTaulo ni kipande cha ajizi nyuzi au karatasi inatumika kwa kujikaushia au kufutia.Inajenga unyevu moja kwa moja, inatumia kikaushio au kwa jinsi ya unavojifutia.Ni ya kawaida sana kwa nyumbani kama nguo ya kujifutia inayotengenezwa kwa pamba, rayon,bamboo, nonwoven,nyuzi,na material mengine pia.

     Hizi ni aina ya taulo;

Taulo ya kuogea(bath towel) Inatumika kukaushia maji mwilini baada ya kuoga au kuogelea.ni pembenne na size yake ni 30 kwa 60 (76cm*150cm),na zile kubwaaa zinaitwa shuka la bafuni.

Taulo ya ufukweni(beach towel

  Ni kubwa nayo kujifutia baada ya kuogelea.Hutumika kwa kutoa nafasi ya kuilalia hata kukalia pia ufukweni.Hutumika pia kujifichia wakati wa kubadili nguo hadharani ukiwa ufukweni,kufutia michanga ya baharini,ina rangi kali na za mchanganyiko wa rangi.

Taulo la miguu(foot towel).
         Hili ni dogo la pembe nne,ni kama kifutio miguu huwekwa mlango wa bafuni, hufutiwa miguu baada ya kutoka kuoga.

Taulo la mikono(hand towel).
         Hili ni dogo kushinda la bafuni hutumika kufutia mikono baada ya kunawa lina size 12in*24in(30m*61cm).

Taulo la jikoni(kitchen towel)
            Ni sawa na cha vyombo tu.Taulo la karatasi(paper towel).

Ni kipande cha karatasi hutumika mara moja na kuitupa.ni makaratasi yanafungwa kama tissue,au yapo kwenye roller haya huwa makubwa.

Taulo ya jasho au gym(sweat or gym towel).
           Ni dogo kama la mkono kwa kujifutia majasho baada ya mazoezi.pia hutumika kufutia mashine za mazoezi .

Hutumika Taulo kwa ;   Kukalia,kusimamia kwa kuepusha kukanyaga moja kwa moja kama jiwe,mchanga,mlima,kiti,n.k.

        Kinyozi kufutia kwa matayarisho ya kunyoa.
        Blanket kwa kujifunikia kuwako baridi kali.
Asian countries taulo ndogo hutumika kama handkerchief aina ya turkish,wanaume kwa wanawake wote hutumia kwa kuzishikilia mkononi.

           Kushikia vitu kama gloves haswa jikoni kwa vitu vya moto,oven,n.k.
           Kushangilia kwa ushindi hutumia taulo pia .
           Kukandia yaani massage.

Ilianza mji Bursa,Uturuki huko.Na mji unaoongoza kutengeneza taulo za maana.Zikaitwa Turkish Towel wahindi wanazipenda sana.
   Mnamo 2011 Hotel nyingi walitumia taulo na kwa kuoshea pia na kupachikwa lebo ya RFID.

  





0 comments:

Post a Comment