• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Friday, October 11, 2013

MAFUTA YA NAZI

2:15 AM // by Kalma // No comments

MAFUTA YA NAZINazi ni tunda. Nazi hii inatoa mafuta .

Mafuta yake yanatumika kwa matumizi mengi na dawa ikiwemo.

Haya yanaitwa "virgin coconut oil" kwa sababu hamna kiwanda kinachoweza kuandaa mafuta ya nazi hayatiwi manukato,kusafishwa,au kuchanganya as bleached!

Kutumia mafuta ya nazi ni maajabu ya asili kwa nywele, ngozi laini na afya nzuri.
  
Mafuta ya nazi yanatumika kwa kisukari,ugonjwa wa moyo, uchovu sugu,thyroid conditions,inatia nguvu,ina boost immune system,ironically.

 Haya mafuta yana calories nyingi ila baadhi wanatumia kupunguzia cholesterol.
Mafuta haya yana kazi  tofauti mwilini na hayafanani na mafuta mengine kabisaa.

Huondoa maumivu ya kichwa kwa watoto,kwa kupakaa au kumpulizia.
Yanatibu ugonjwa wa moyo kwa kula nazi yenyewe au mafuta yake.
Obesity kwa kunywa 10mls mara tatu kwa siku hupunguza uzito kuanzia kg 1-6 kwa wiki.
   Inaongeza cholesterol nzuri  kutokea High-density lipoprotein(HDL) cholesterol na haiongezi cholesterol mbaya.

     Nazi ni salama kwa matumizi ya kawaida kwa chakula na ni vizuri kupakaa kwenye ngozi ya kichwa.
         Huzidisha uzito ukitumia sana,japo wanasayansi hawajalithibitisha hili sanaa..
       La msingi ni kutumia vipimo.
Kipimo cha mafuta haya yanategemea umri,uzito,afya,n.k.Mpaka sasa wanasayansi hawajagundua kipimo haswa  cha mafuta haya.
        Ushauri wa daktari ni mzuri zaidi.

Nazi ina thamani sana Asia na Pacific hutumia kuanzia ujenzi,nguo,chakula,na dawa kwa binadamu na wanyama .

Na sehemu za pwani za Tanzania ni kiungo kikubwa cha chakula,na dawa pia . Kwa Zanibar mila hii hudumishwa sana,zawadi kubwa ya bibi harusi kutokea upande wa wanaume ni mafuta ya nazi yalotiwa manukato ya kuvutia,mambo ya pwani hayooo...
Nazi ina nyama,maziwa,mafuta,maji,na vinegar.
Mafuta ya nazi yanalinda yai kuharibika.

     Chukua mafuta ya nazi pakaa nje ya yai,au sehemu ilotoboka na loweka yai kwenye mafuta kisha weka sehemu ilopoa yaani iso baridi wala joto.
Yai litatoa seal ambayo itaweka oxygen isipenye kwenye yai. Na hukaa miezi 9-12.

Hutibu maumivu ya jicho.
      Chemsha mafuta ya nazi yawe moto sio sana kisha dondoshea jichoni matone mawili(2).

Hutoa grease
        Pakaa mafuta kwenye sehemu ya mwili yenye grease kisha futa kwa kutumia karatasi,halafu nawa na sabuni na maji.

Dawa ya engine.
      Hutumika kuongezea nguvu engine za diesel na trucks.
Dawa ya wanyama.

  Ng'ombe,mbuzi,mbwa,huongeza kung'aa kwa ngozi,huzuia vijidudu,inazuia ndege kuwadonyoa manyoya na vijiudu,inaondoa hotspot pia.

Dawa kwa watoto.
         watoto wanaosumbuliwa na flue ya mafua wa mwezi mmoja na kuendelea,hutibu kwa kumnyunyizia tone moja ndani ya pua.Husababisha chafya nyingi na mafua kuchuruzika,kipimo hutegemea na wingi wa flue hiyo mara mbili mpaka tatu.
Dawa kwa binadamu .

Conditioner ya nywele.

 Kulainisha ngozi ya mwili.

      Kukandia mwili.
      Inapunguza majeraha na makovu kwa kupakaa kwenye jeraha au kovu mara mbili(2) kwa siku.

       Hutibu kovu la kuungua.
       Inatoa gums ziloganda kwenye nguo,au nywele.
Mafuta haya ni salama kwa mama mjamzito na anaenyonyesha.

Mirranda Kerr's Beuty, siri ya mrembo huyu ni mafuta ya nazi.Alianza kutumia toka umri wa miaka 14 anakunywa kwa siku vijiko vya chai mara nne. Anaitumia kwenye salad,chai ya kijani,kila siku.2011 alipata mtoto wake,kifaa kilomfanya arudi kama alivyokua ni mafuta ya nazi kwa kunywa,kujikandia,na kujipakaa.

Anasema Hawezi kuishi bila ya mafuta ya nazi. Waxing yake ya masikio ni mafuta haya.

   Andaa leo mafuta yako na wewe nyumbani kwako ni rahisi.
Fanya haya yafuatayo;
 
Nazi 10pcs
Zikune halafu chuja tui zito sana.
Chemsha mpaka likaukie,litaganda kama ukoko halafu chuja kupata mafuta safi.
Waeza pikia.

Kwa matumizi ya kupakaa tia asumini,vilua,au mlangillangi haya maua yana manukato ukiweka humo yanapunguza harufu  ya nazi. Au tumia non-aloholic perfumed tone viwili yanatosha.





















0 comments:

Post a Comment