• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Sunday, October 13, 2013

MAFUTA YA SAMAKI

1:18 AM // by Kalma // No comments

Mafuta hutokea kwa samaki mwenyewe.Yanapatikana kwa kula samaki au dawa za kuongezea.Mafuta yanajulikana kama Omega -3 fatty acids ikiwemo kwa samaki  Meckerel, jodari,salmoni,sturgeon,mullet,bluefish,ansjovis,dagaa,herring,trout,na menhaden.wanaleta gm moja(1) ya omega -3 fatty acids kwa 3.5 ounches kwa samaki.  Mafuta ya kuongezea yaani (supplements) kwa kawaida imetengenezwa na mackerel,jodari,halibut,nyangumi bobokwa,muhuri bobokwa.supplements yana vitamin "E" kidogo ambayo inalinda kuharibika. Yanawekwa Calcium,Madini ya chuma, Vitamin A,B1,B2,B3,C,au D.        Mafuta ya samaki yana upana mrefu wa matumizi.Hutumika kwa moyo na mfumo wa damu,pengine hutumika kutibu presha ya kushuka,kutibu "triglycerids"levels mafuta ya ziada yalosababishwa na cholesterol. 

Mafuta ya samaki yanalinda vijidudu visishambulie moyo,kiharusi(stroke).Ushahidi wa kisanyansi unathibitisha hilo pia, na kusisitiza kama yatatumika kwa kipimo maalum.

Ironically kutumia mafuta haya kwa wingi na bila kipimo huweza sababisha hatari ya kiharusi na moyo pia.

 Samaki ana sifa ya akili,na huitwa "chakula cha akili" wanaokula samaki husaidia kupunguza unyogovu,"psychosis attention deficit-hyperactivity disorder, n.k.

          Wengine hutumia mafuta ya samaki kwa kutibu macho makavu,glaucoma, kuzorota kwa seli,hili ni tatizo sugu husumbua wazee,huweza sababisha tatizo la macho na hata kutoona kabisa.

      Wanawake hula mafuta haya kuzuia maumivu ya vipindi; maumivu ya maziwa,matatizo ya ujauzito kama kuharibu mimba,presha ya kupanda mwishoni mwa ujauzito,na kipindi cha kujifungua.

           Mafuta ya samaki hutumika kwa kisukari,pumu, ukuaji dhaifu,obesity,dyslexia, figo, mifupa dhaifu,magonjwa ya vijiudu vya kuvimbisha kama"psoriasis" na hulinda kupungua uzito unaosababishwa na dawa za cancer.

         Mafuta ya samaki mara nyingine hutumika kwa upasuaji wa moyo kuzuia presha ya kupanda,kuharibu figo, inayosababishwa na upasuaji huo wenyewe au kwa dawa itakataa kuubadili moyo kurudi kwenye hali yake ya upya.Hutumika baada ya ateri "coronary artery" surgery.Inaonekana husaidia kwa mishipa ya damu inayojengeka kutokea kwa mishipa iliyojifunga.

      Mafuta haya pindi yakipatikana kwa kula samaki na kwa vile samaki alivoandaliwa huleta mabadiliko.Kula  samaki alo okwa au aliyekaushwa (baked) hupunguza hatari ya maradhi ya moyo.Lakini kula samaki alokaangwa au sandwiches huwa hana faida kwenye mafuta yake. Lakini huweza kuongeza hatari ya ugonjwa wa moyo .
      
      Mawili makuu  muhimu kwa Omega -3fatty acids yanopatikana kwa mafuta ya samaki ni Eicosapentaenoic acid(EPA), na Docosahexaeroic acid(DHA).

   INAFANYAJE KAZI?
Swali ni hilo hapo.Faida nyingi za mafuta ya samaki hutokea Omega-3 fatty acids,ambayo imo kwa mafuta ya samaki. Mwili hauzalishi hii Omega-3 fatty acids ya kwake yenyewe. Mwili hutengeneza Omega-3fatty acids kutokea Omega-6fatty acids,kawaida ni "western diet".
    Wanasayansi wamegundua hii EPA na HDA hizi aina za Omega-3 fatty acids hupatikana kwenye supplements pia.

   Omega-3fatty acids hupunguza maumivu na kuvimba.Ndo maana inasemwa Mafuta ya samaki hukidhi na kutibu macho makavu na kuona.Hulinda kuganda kwa damu kirahisi,Na ugonjwa wa moyo ni kinga yake kubwa.

Ina madhara mafuta haya yakizidi mwilini.

Muone daktari kwa ushauri wa dawa ya mafuta haya.
Ni vyema kuyapata kutokea kwa samaki mwenyewe.



0 comments:

Post a Comment