• LinkedIn
  • Join Us on Google Plus!
  • Subcribe to Our RSS Feed

Thursday, October 17, 2013

CHOCOLATE

6:28 AM // by Kalma // No comments

CHOCOLATE

Chocolate ni mchakato.Ladha yake ni tamu.Chakula kinatokana na mbegu Cocoa.Ililimwa karne ya tatu huko Mexico,Amerika ya kati na North South America.

 Cocoa ina ladha ya uchachu au ukali.

Baada ya fermenation inakaushwa,inasafishwa,inachomwa,maganda yanaondolewa kupata mbegu ile ambayo hii huzalisha Chocolate.

Chocolate kimekua chakula maarufu sana duniani chenye flavors. Imetumika chocolate kimila kupeana zawadi kwa kipindi cha Sikukuu. Inatumika kipindi cha baridi kali kutengeneza chocolate milk na hata hot chocolate.Chocolate neno hili lilianzia Spanish Xocolat1 tokea Xococ kwa maana ya uchachu au ukali na Atl ni maji au kinywaji.

Chocolate inatengenezwa na Cocoa na Cocoa butter.Chocolate ni sensitive kwa hali ya hewa na humidity.kuhifadhi kwake ni kati ya 15 na 17c (59 na63 F). Huhifadhiwa mbali na vyakula vingine.kwa sababu chocolate ni rahisi kuchukua aromas.Hufungwa na kuwekwa vizuri,huwekwa mahala pasipo na mwanga kwa kuifunga vizuri na makaratasi maalum ya kuhifadhia.

Uzuri wa chocolate kiafya

Cocoa au dark chocolate hutengeneza mfumo wa upumiaji. Kula chocolate husaidia kupunguza athari ya tatizo la cardiovascular. Hupunguza presha kwa wenye uzito ulozidi na hata kwa watu wazima pia. Chocolate huongeza uwezo wa utambuzi. Dark chocolate inashusha cholesterol level kwa watu wazima.  Chocolate ina anticancer. Hupunguza kushtuka kwa ubongo . Hupunguza au kuzuia kuharisha na kifua.

Chocolate ina madhara ya kiafya pia;Husababisha kiungulia. Husababisha obesity.  Inaweza leta madhara ya figo kwa Oxalate. Inasababisha Osteoporosis kwa wazee. Allergy kwa watoto.Chocolate ni addictive.  Huozesha meno na kutengeneza bacteria.

Chocolate Bunnies na mayai ni zawadi maarufu kwa Pasaka.Chocolate coins Hanukkah ni ishara za Christmas,Chocolate hearts za aina ya moyo hupendelewa sana kipindi cha Valentines day,ikisindikizwa sambamba na maua na kadi.

   Sikukuu ya kimataifa ya chocolate ni 13september .

1999,Chocolate Novel ya Joanne Harris,alotoa story ya Vianne Rocher, mama mdogo ambae alifanya kinyunya cha kuwabadili watu wa mji wake. Mnamo 2000 iliuza kuzidi dola za kimarekani us$150,000,000 duniani.

Walipata zawadi ya Academy Award,Golden Globe,walipata zawadi ya muigizaji wa kike bora na best original score.
   Zawadi ya Chocolate ni nzuri kwa mchumba hata mtoto pia sharti kumsafisha vizuri mdomo wake .
 Mimi binafsi napenda sana chocolate cake halafu Amina my sister anajua kweli kuipika,nampigia anitengenezee nahisi atakubali akiwa na nafasi,naipenda sana.

ENJOY AND SHARE !



0 comments:

Post a Comment